Burudani

IST mpyaa inasubiri mshindi wa Tecno Vimba Season Jumamosi hii (+Video)

Meneja mauzo wa Kampuni ya Simu ya TECNO Tanzania, Mariam Mohammed amewashukuru Watanzania wa kuonyesha ushirikiano wao katika Promosheni yao kubwa ya #TECNOVimbaSeason ambyo hii leo Agosti 31 saa 6:00 usiku itafikia mwisho ili kuanza mchakato wa kutafuta mshindi atakayepata zawadi ya Gari aina ya IST.

Mariam Mohammed ameongeza kuwa kwa Wateja wote walionunua simu aina ya Tecno Camon 15 na Tecno Spark 5 kupitia maduka yao ya promosheni wanakwenda kuchezesha Droo yao siku ya Jumamosi ili kuweza kupata mshindi ambaye atafanikiwa kuondoka na Gari hilo aina ya IST na Droo hiyo utaweza kuishuhudia kupitia mitandao yao ya Kijamii ya Instagram TecnomobileTanzania na Facebook TecnomobileTZ.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents