Habari

James Kibosho,mpiga drum wa Twanga Pepeta apata ajali

Taarifa ya kuskitisha ni kwamba mpiga drum wetu na Stagemaster James Kibosho amepata ajali ya gari jana usiku wakati aki drive kurejea nyumbani kwake.Kiongozi wa bendi hiyo Hassan Rehan alisema mpiga drum huyo alikuwa akimsindikiza dada yake Tegeta,na wakati anarudi ndipo akapata ajali hiyo maeneo ya Mwananyamala juzi usiku.


Hali yake kwa sasa inaendelea vizuri baada ya kupata matibabu ila gari ari aliyokuwa ana drive ndiyo imeharibika sana.

Tumuombee kwake manani ampe nafuu haraka iwezekanavyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents