Exclusive: Picha ya Kwanza ya Shetta baada ya Kuoa asubuhi hii
Shetta ameongea na Bongo5 asubuhi hii na kutujuza furaha aliyokua nayo baada ya kufanikisha zoezi la kumuoa mamsup wake Leila.
Mke na Mume hao wamerelease picha hii exclusive kwa Bongo5 kwa ajili ya kuwafahamisha fans hali halisi ndio hivyo tena.
Hongera kwa Mr. And Mrs. Wapya.