Burudani

Jennifer Hudson kuonekana ‘The Voice’

Jennifer Hudson amepata shavu la kujiunga katika msimu wa 13 wa The Voice kupitia kituo cha television cha NBC.

Jennifer ataungana na timu nzima ya makocha watakowafunza wale wote wanaotarajia kushiriki mashindano hayo ya kuimba ambao ni Adam Levine, Blake Shelton, na Miley Cyrus.

“Jennifer ni mwenye kipaji cha sauti na anafahamu sana kuhusu sauti” Mmmoja wa waandaaji hao amesema mjini Hollywood.

Pia aliongezea na kusema kuwa, ni mtu mwenye ujuzi, na kipaji na ndio maana ‘The Voice” tulizingatia kushirikiana naye kama muimbaji na muigizaji na vyote anafanya kwa ufanisi na ndio vitu vinamfanay awe wa kipekee

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents