Burudani

Cassper Nyovest amwaga akubali Muziki wa Diamond, Harmonize na Marioo (Video)

Usiku wa kuamkia leo nyota wa muziki kutokea Afrika ya Kusini @casspernyovest amewasili Nchini kubwa zaidi ni kuhusu show kubwa inayofanyika siku 2 mfulululizo inayokwenda kwa jina la Best Vibes ambapo wasanii wa kali watahusika kukiwasha akiwemo @diamondplatnumz na wasanii wengine

Amewataja wasanii anaowafahamu kutoka Tanzania ambapo amemtaja Diamond, Harmonize, Marioo na Dj Vasley

Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5

Written and edited by @abbrah255 and @el_mando_tz

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents