John Bocco amshukuru Mo Dewji (+Video)

”Tunawaheshimu Al Ahly ni timu kubwa, wanauzoefu mkubwa kwenye haya mashindano pia ni timu kubwa kwa Afrika lakini tunaamini kwa mbinu tutakazoingia nazo kesho kutoka kwa waalimu wetu tunaweza kutoka matokeo mazuri. Ni mshukuru Mwenyekiti wetu kwa kuweza kutoa mchango wake kwa kipindi chote kwa timu,”- John Bocco

Related Articles

Back to top button
Close