Burudani

Joti na mke wake walivyofanya sherehe ya ndoa yao Dar (Picha)

Mchekeshaji kutoka Kundi la Orijino Komedi, Lucas Mhuvile ‘Joti’ ameuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Tumaini Hasssan ndoa hiyo imefungwa Agosti 28, mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Magomeni jijini Dar Es Salaam.

Joti akipokea busu zito lililomfanya asinzie kutoka kwa mke wake

Baada ya kufunga ndoa, sherehe za ndoa yao hiyo ilihamia katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki. Angalia picha.

Joti na mke wake


Joti na mke wake wakiwashukuru wazazi

Joti na Mke wake wakisubiria kesi

Muda wa Vinywaji

Wopler na Mboni wakiwa katika sherehe hiyo.

Antu Mandoza, Stan Bakora na Linah Sanga

Mke wa Masanja akiyeshika keki

Mpoki akiwa na mtu wake wa karibu

Mtitu akiwa na mtu wake wa karibu

Ukumbi ulivyopendeza

Wadau kutoka Azam TV ambao walipewa haki ya kumiliki kurusha ndoa hiyo live.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents