Burudani

Justin Bieber athibitisha kusimama kufanya muziki hadi pale afya yake itakapokuwa sawa “Muziki ni muhimu kwangu lakini hauwezi kuwa juu ya familia na afya yangu

Justin Bieber mwenye umri wa miaka 25 anaweka kuhusu kazi yake ya muziki kusimama kwanza ili kushughulikia afya yake kwanza. mwimbaji huyo raia wa Canada alitumia Instagram yake kuwasilishia mashabiki wake juu ya uamuzi wake,

Justin Alisema “KNimesoma ujumbe mwingi sana ukisema unataka albamu … Nimepata maisha yangu yote ya Ujana, na mapema miaka ya 20, nilitambua na kuona hili kama ninyi labda pia mliona kuwa sikuwa na furaha katika tamasha langu la mwisho na sikustahili hali ile hata ninyi pia hamkustahili, kwa sababu mlilipa pesa zenu kuja na kuona tamasha kubwa lenye furaha ya mwanga na sikuwa na hisia ya kukupa hicho karibia mwishoni mwa tamasha “.

<> at Staples Center on March 20, 2016 in Los Angeles, California.

Ikumbukwe kuwa Bierber amemuoa Hailey Baldwin pia kuhusu hilo alisema kuwa anataka kuwa karibu na familia na mpenzi wake kwani anatarajiwa kuwa baba kwa ambaye. “Nimekuwa nikiangalia, kutafuta, jaribio na kosa kama wengi wetu wanavyofanya, sasa nikazia sana kutengeneza baadhi ya masuala yaliyotokana na mizizi ambayo mimi na wengi wetu tuna nayo, ili sije kuanguka, Ninaweza kuendeleza ndoa yangu na kuwa baba ninayotaka kuwa. “Muziki ni muhimu kwangu lakini hakuna kinachokuja kabla ya familia yangu na afya yangu,” iliendelea post ya Instagram. alisema wimbo wa “Sorry” ulikuwa mkubwa sana na sikuutilia manani ila muda tu nitarudi kwa kasi. alimaliza kwa kusema “Nawapenda sana”

So I read a lot of messages saying you want an album .. I’ve toured my whole teenage life, and early 20s, I realized and as you guys probably saw I was unhappy last tour and I don’t deserve that and you don’t deserve that, you pay money to come and have a lively energetic fun light concert and I was unable emotionally to give you that near the end of the tour. I have been looking, seeking, trial and error as most of us do, I am now very focused on repairing some of the deep rooted issues that I have as most of us have, so that I don’t fall apart, so that I can sustain my marriage and be the father I want to be. Music is very important to me but Nothing comes before my family and my health. I will come with a kick ass album ASAP, my swag is undeniable and my drive is indescribable his love is supernatural his grace is that reliable…. the top is where I reside period whether I make music or not the king said so. 👑 but I will come with a vengeance believe that.. (grammar and punctuation will be terrible pretend it’s a text where u just don’t care).

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents