Burudani

Kanye West asema album mpya imekamilika kwa 80%, huenda akaitoa kwa kushtukiza

Album mpya ya Kanye West iko kwenye hatua za mwisho kukamilika.

Kanye W

Katika mahojiano kupitia ‘Breakfast Club’ ya kituo cha Power 105.1 Ijumaa Feb 20, Kanye amesema album hiyo ambayo bado hajaipa jina imekamilika kwa asilimia 80 mpaka sasa, “I’m trying to get it finished. I’m trying to get it to the people as soon as possible,” alisema.

Kanye pia amesema kuna uwezekano akaitoa kwa mtindo wa kushtukiza kama alivyofanya Beyonce na Drake kwenye Mixtape yake mpya.

Pia ameelezea jinsi album hii itakavyokuwa tofauti na ile iliyopita ya 2013 “Yeezus”.

“[It’s gonna be] bars, songs, cookout music that just feels good,” he continued. “My last album was a protest to music, I was like ‘I’m gonna take my ball and go home.’ This album is embracing the music, joy. Being of service to the people. I just hope people like it and enjoy it.”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents