Kaze apewa miaka miwili Jangwani

Miamba ya soka nchini, Mabingwa wa Kihistoria Ligi Kuu Tanzania Bara, timu ya Wananchi Yanga SC imetangaza rasmi kumpa kandarasi ya miaka miwili kocha wao mpya Cedric Kaze.

”Uongozi wa klabu yetu ya Young Africans SC leo tumemtambulisha rasmi Kocha wetu mkuu Cedric Kaze, amesaini mkataba wa miaka miwili utakaomfanya awatumikie Wananchi hadi 2020/22. Karibu sana Jangwani, Karibu timu ya Wananchi.”- Yanga SC

Related Articles

Back to top button