Michezo

Kocha Louis van Gaal atoa lawama zake kwa wachezaji hawa baada ya kufungwa 1-0 na West Brom

Kocha wa Manchester United Louis van Gaal baada ya timu yake kupoteza mchezo huo kwa kichapo cha bao 1-0 mbele ya West Brom.

31ED822900000578-3479173-image-a-73_1457282088914

Van Gaal amesma kadi nyekundu ya Juan Mata ilichangia timu yake kushindwa kupata matokeo ya ushindi mwamuzi alipaswa kutazama namna ya kumwonya Mata kabla ya kumwonesha kadi ya pili ya njano.

Lawama zingine Van Gaal amezielekeza kwa Anthony Martial akisema hakuwa katika ubora wake kwani alipiga shuti moja tu golini kwa dakika zote 90 alizocheza.

Lakini wakosoaji wamehoji kwamba, kama mchezaji huyo laiya wa Ufaransa hakuwa kwenye ubora wake kwanini Van Gaal asingefanya mabadiliko ya kumpumzisha?

Video ya Van Gaal akitoa lawama kwa wachezaji wake.

https://youtu.be/tiGYxG1qlU0

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents