HabariMichezo

Kocha Nabi wa Yanga akerwa na hili swali (+Video)

Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi ameonekana kutofurahishwa na swali aliloulizwa na mwandishi wa habari kuhusu kikosi chake kuruhusu magoli matano (5) ndani ya michezo miwili ya mwisho ambao ni wa Coastal Union na Vipers na ndipo Prof. Nabi akahoji ni nani aliyechukua Ubingwa wa NBC, FA na Ngao ya Jamii.

 

Related Articles

Back to top button