Kocha Msaidizi wa Orlando Pirates atoa malalamiko yake dhidi ya ‘VAR’ baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Simba SC.
”Kanuni zinasema tunakwenda kutumia ‘VAR’, lakini VAR haijatuma leo, nenda kaangalie penati waliyopata Simba haikuwa penati.”- Kocha wa Orlando Pirates
Kuangalia video bofya HAPA