Michezo

Kocha wa Mandonga afunguka nyota kali ya bondia wake (Video)

Kumbe ushindi wa @k_mandonga unasababishwa na kocha wake Saidy Saidy ambaye kwa mara ya kwanza amefunguka kwa kusema licha ya bondia huyo kujituma ila ana nyota kali.

Saidy amedai Mandonga ni mwema sana na amekuwa msaada mkubwa sana kwake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents