Bongo Movie

Kuna watu wazima wamefyatuka, lazima tuwanyooshe – Hashim Kambi

Msanii mkongwe wa filamu, Mzee Hashim Kambi amesema amekua akiigiza katika maadhi ya filamu kama mzee kijana ambaye anapenda kula bata na mademu kwaajili ya kuwaelimisha watu wazima ambao akili zao hakiko sawa. Mzee huyo ameyasema hayo wiki hii akiwa mkoani Tanga katika uzinduzi wa ligi ya mpira ya wilaya ya Pangani ya Uweso Cup.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents