HabariMichezo

Kura ya Alaba kwa Messi yamponza

David Alaba amesisitiza kuwa kura ya timu ya Austria kwa Lionel Messi kama Best FIFA Men’s Player iliamuliwa na timu nzima na siyo yeye peke yake kama Nahodha, hayo yamejiri baada ya kushambuliwa mitandaoni kwa kuacha kumpigia, Karim Benzema ambaye wapo wote Real Madrid.

Iliwashangaza wengi Kura ya Alaba imeonekana kumchagua Messi na kumpa Benzema nafasi ya pili kisha Mbappe nafasi ya tatu.

Tuzo hiyo upigiwa kura na Nahodha wa timu za taifa, Makocha na Waandishi wa habari za michezo kutoka kila taifa.

Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents