HabariMichezo

Yanga itacheza robo fainali ya CAF- Ali Kamwe (+Video)

”Nguvu, akili na mawazo yetu kwa sasa yapo kwenye uwanja wetu wa nyumbani wa Benjamin Mkapa katika mechi mbili ambazo zinafatana. Nguvu ambayo mashabiki wametupatia kwenye mchezo wetu dhidi ya TP Mazembe naamini itakuwa mara mbili zaidi ya pale.”- Afisa Habari wa Yanga SC Ali Kamwe

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents