Habari

Langa kuzikwa Jumatatu kwenye makaburi ya Kinondoni

Mazishi ya rapper Langa Totty M Kileo yanatarajiwa kufanyika Jumatatu ijayo kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

33c2e-wak

Langa alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya Kinondoni na kisha kuhamishimwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo, Meningitis.

Langa Kile alizaliwa December 23, 1985. Mungu ailaze mahali pepa roho ya marehemu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents