Habari

LIVE: Zuhura Yunus akizungumza na vyombo vya habari Ikulu- Dar (+Video)

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao, Wizara ya Kilimo, Mhe. Nyasebwa Chimagu wakizungumza na vyombo vya habari kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini Uswizi na Senegali katika Ukumbi Wa Jakaya Kikwete – Ikulu jijini Dares Salaam tarehe 30 Januari, 2023.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents