BurudaniHabari

Lulu diva afunguka kuhusiana na wasanii wa kike wa Bongo Fleva kutokupendana (Video)

Lulu diva awashauri wasanii wa kike

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lulu diva amefunguka mwanzo mwisho juu ya kile kinachosemekana kuwa wasanii wa kike hawapendani.

Msanii huyo ameongea hayo wakati anapiga stori na Bongo five kuhusiana na maisha yake ya muziki na baada ya kuulizwa kuhusiana na kile kinachoonekana kwa wasanii wa kike katika tasnia ya Bongo fleva kutokupenda kama wasanii wa kiume,Lulu diva alifunguka haya.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents