Burudani

Lulu Diva afunguka kuhusu tetesi za Rich Mavoko kuumwa pamoja na kuondoka WCB (Video)

Muimbaji Lulu Diva ambaye anadaiwa kutoka kimapenzi na muimbaji, Rich Mavoko amefunguka kumzungumzia muimbaji huyo ambaye amekaa kimya kwa muda mrefu. Diva amedai kila siku anaonana na Mavoko na ni mzima.

Related Articles

4 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents