Habari

Mabomu yalipuka Nairobi

Zaidi ya watu 24 wamejeruhiwa vibaya na watu 5 kupoteza maisha baada ya mabomu mawili kulipuka ndani ya Uhuru Park jijini Nairobi. Chanzo cha matukio hayo bado hakijafahamika

, mlipuko ulitokea baada ya mkusanyiko ya maelfu ya watu wanaopinga katiba mpya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents