Siasa
Mahenge mkuu wa mkoa wa Singida akitokea Dodoma (+ Video)
Rais wa Jmauhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassana memteua Dkt. Binilithi Mahenge kuwa mkuu wa mkoa wa Singida akichukua nafasi ya Dkt. Rehema Nchimbi amabye amestaafu.