Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Majizzo ajibu mapigo kwa Diamond, anaziba njia ila yeye anapita tu

KLupitia kipindi cha RECAP NA MANDO @el_mando_tz amefafanua kwa urefu video aliyopost Majizzo baada ya kuamua kuhamishia Masanja kwenye joto la asubuhi kusoma magazeti.

Video imeeleza kila kitu kinachoendelea kati ya hao wawili wakurugezi wa moja ya media kubwa Tanzania, Majizzo amejigamba namna anavyovumbua vipaji kutoka kila kona ya nchini akitumia neno #Telescope

Diamond ameonyesha jeuri ya pesa kwamba atakachotaka kufanya atafanya kama kitahitaji pesa na hata kauli yake ya jana kuwa mafanikio chaya kwenye kampuni yanaletwa na uwekezaji na ubunifu.

Majizzo amemtumia mtu aliyevaa kanzu mithili ya Sheikh Mansour akionekana akimzibia njia lakini Majizzo anatabasamu na kutafuta njia nyingine ya kupita.

Kwa wakati mmoja vitu vyote vimethihirishwa na hawa wakurugenzi UBUNNIFU na UWEKEZAJI, haviachani

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents