Uncategorized

Mama Ashura afunguka Ebitoke kujitoa Timamu Comedy, pia kuhusu kutoka kimapenzi na mume wake(+Video)

Msanii na mchekeshaji kutoka katika kundi la Tiamu Comedy alimaarufu Mama Ashura ambaye kipindi cha nyuma ilisemekana kujitoa kwa sababu ya mchekeshaji mwenzie Ebitoke kutoka kimapenzi na mume wake afunguka.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na Bongo5 Mama Ashura ameweka wazi ukaribu wake na Ebitoke pia kuweka wazi kuhusu mahusiano ya Ebitoke na mume wake:-

by Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents