Michezo
Man United ipo tayari kufanya maamuzi haya kwa kiungo wao Marouane Fellaini
Klabu ya Manchester United, imeripotiwa kuwa ipo tayari kumuuza kiungo wao Marouane Fellaini katika dirisha dogo la usajili januari na si kumtoa kwa mkopo tena kama ilivyo kuwa awali.
Klabu za West Ham na Sunderland zinatajwa kumtaka mchezaji huyo raia wa Mbelgiji mwenye miaka,29.