Burudani

Manywele Vimwana yapamba moto

VimwanaKikundi cha Off Side trick kutoka Zanzibar kinataraji kuungana na African Stars Band “Twanga Pepeta” katika kutoa burudani siku ya Nusu Fainali ya Shindano la  Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 linalotarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa ya tarehe 27-05-2011 katika Club ya Sun Cirro.

 

 

 

washiriki wa mwaka huu wameonyesha vipaji vya kucheza vya hali ya juu tofauti na miaka ya nyuma, hii inaonyesha ushindani mkali utakaojitokeza siku ya onyesho. Mshindi wa Shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 anataraji kukabidhiwa Duka la Vipodozi lililopo maeneo ya Kinondoni Studio.kuna baadhi ya washiriki hawajawahi kucheza sehemu yeyote ile lakini wameonyesha uwezo mkubwa wa kumudu jukwaa kuliko hata wale ambao ni wachezaji muda mrefuFainali ya Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza ijumaa tarehe 17-06-2011

 Maimartha Jesse.

 Matayarisho ya Onyesho hilo yanaendelea vizuri na washiriki wanaendelea kujifua vilivyo chini ya Mwalimu Kassim Mohammed maarufu kama Super K na Matron Husna Idd “Sajent”.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents