HabariTechnology

Masikio yako utasafisha kwa kutumia Headphone ?

TEKNOLOJI: Dunia inakwenda kasi mno, kila uchwao mifumo mbalimbali ya teknolojia huibuka kwaajili ya kurahisisha maisha ya mwanadamu na pengine kupunguza muda wa kazi za kila siku.

Kampuni ya SafKan Health iliyoanzishwa Seattle imeunda mfumo wa kipekee wa kusafisha masikio unaoitwa ‘OtoSet’, ambao husafisha uchafu wa masikio ndani ya sekunde 35 pekee.

Video Bofya HAPA

Mfumo huu umeundwa kupitia ‘Headphone’ ambazo huvaliwa kama headphone nyingine za kusikiliza muziki ila zenyewe ndani yake kukiwa na maji, huku sikio husafishwa kwa njia ya umwagiliaji kisha teknolojia hiyo kufyonza uchafu.

Kifaa hicho cha teknolojia kwa sasa hutumika na wataalamu wa afya tu.

Written by @fumo255 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents