Burudani

Matonya na Tunda Man hawako sawa licha ya kudaiwa kumaliza tofauti zao

Matonya amesema hajawahi kuonana na hana shida ya kumtafuta rafiki wake wa zamani, Tunda Man.

11385099_123603974638510_752782279_n

Matonya na Tunda Man waliingia kwenye mgogoro baada ya Tunda kudai alikuwa anamwandikia nyimbo Matonya katika kipindi cha nyuma hali iliyoleta tofauti baina yao mpaka sasa.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio Jumatatu hii, Matonya alisema hajawahi kuonana na kuzungumza na Tunda Man siku za hivi karibuni.

“Hata kuonana naye sijaonana naye, hawa story zao achana nazo,” alisema. “Sijawahi kuzungumza hili suala na wala sina hiyo plan kabisa, yaani sijawahi kukaa na Tunda Man kumzungumzia hili suala.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents