BurudaniMuziki

Music: Justin Bieber Feat. Selena Gomez – Strong

Drake amekuwa anazindua kazi mpya kila baada ya wiki za wasanii mbalimbali kupitia radio yake ya OVO Sound Radio kupita Beats 1 ya Dr. Dre kutoka episode mpya ya radio hiyo producer mwenye jina ‘Nineteen85’ alivujisha collabo ya wimbo mpya ya Justin Bieber na mpenzi wake wa zamani Selena Gomez ambao unaitwa “Strong”.

https://soundcloud.com/jeffrey-lei/justin-bieber-feat-selena-gomez-strong-audio

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents