Habari

Mbunge Wanu anavyopambana kwaajili ya Ustawi wa Mtoto wa Kike

Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti – Mhe Wanu Hafidh Ameir (MB)

Wanu Hafidh Ameir Huyu ni Mwanamke Shupavu na Jasiri, Nyota iliyochomoza kutoka Zanzibar, Mzalendo wa kweli mwenye Ari na Kuwiwa kumsaidia mtoto wa kike Dhidi ya Changamoto mbalimbali za kielimu, kijamii na Kiutamaduni Akiwa na dhamira ya Dhati ya Kumkomboa Mtoto wa kike dhidi ya mifumo kandamizi.

Umma wa Watanzania unajivunia kuwa na mtu kama wewe sifahari na hazina kwa Wazanzibari pekee bali ni Fahari ya Umma wa Watanzania kwa ujumla.

Sisi Wanawake wa Tanzania na Wadau wa Elimu Nchini, Tunakupongeza sana Umefanya mambo Makubwa sana yasiyomithilika hii ni kufuatia kuwainua Watoto wa Kike waliomashuleni Kupata Elimu bora na kuwaondolea changamoto na Kero za vitabu, Madaftari na mambo Mengine muhimu ya kimasomo.

Mwenyezi MUNGU akubariki sana Mhe, Wanu Hafidh Ameir umewashika Mkono Watoto Wakike kwa hili ndani ya Taifa Letu🙏🙏💪🇹🇿.

@mwanamkeinitiativesfoundation @mwanamkefoundation @Mwanamke wa Nguvu @mwanamke shupavu @wanou_ibra @hassan_kashoba.

*#LEA Mwana Tung’are*.
*#SSH#Kazi Iendelee*.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents