Tragedy

Member wa kundi la Three 6 Mafia, Lord Infamous afariki dunia

Lord Infamous, mmoja wa waanzilishi wa kundi la Three 6 Mafia, amefariki dunia kutokana na mshtuko wa moyo Ijumaa jioni. Alikuwa na miama 40.

lord-infamous-dies-at-40-heart-attack

Rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Ricky Dunigan, alifariki alipomtembelea mama yake huko passed Memphis.

“Alifariki akiwa usingizini kutokana na mshtuko wa moyo,” alisema kaka yake ambaye pia ni member wa Three 6 Mafia, DJ Paul. “Alisema alikuwa amechoka alitaka kulala, alikaa kwenye meza ya jikoni, aliweka kichwa chake kwenye mikono kulala.”

Mama yake aliyekuwa ameondoka mastaa kadhaa alimkuta amefariki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents