HabariMichezo

Meridianbet Odds kubwa za Leo UCL

Linapokuja sula la kutoa odds kubwa Meridianbet Hawanambambamba! Tukielekea usiku wa mabingwa Ulaya kamataodds kubwa ndani ya Meridianbet, mabingwa wa ODDS kubwana Kasino ya Mtandaoni kwa mara nyingine wametoamachaguo kibao, takwimu za kila timu na odds kubwa. Bashirimubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

 

ODDS kubwa za Jumanne 21/2/2023

Huenda ukawa unajiuliza sana Vijana wa Jurgen Klopp watafanya nini mbele ya vijana wa Carlo Ancelotti Real Madrid kwenye mchezo wa leo, kwenye mechi 6 za mwisho walizokutana Madrid ameshinda mara 5, sare 1 na Liverpool kashinda mara 1. Meridianbet wameipamechi hii ODDS kubwa ya 2.30 ushindi kwa Liver, 2.94 Madrid ashinde na sare ina 3.47, bashiri mubasharakupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

 

Liverpool kwa sasa wameanza kurudi kwenye kiwangochao baada ya kupoteana kwa muda mrefu, lakini huendawakamkosa Darwin Nunez kutokana na majerahaaliyoyapata kwenye mchezo uliopita dhidi ya NewCastleambapo walishinda bao 2-0.

 

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino yamtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapakuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

 

Frankfurt vs Napoli

Unadhani itakuaje kwenye mechi hii ya Frankfurt wakalikutoka Ligi yenye nguvu kubwa ya Ujerumani, Bundasliga watakutana na Vinara wa Serie A Napoli. Meridianbet wenye kasino ya mtandaoni na slotipendwa za Aviator, Poker na Roulette mchezo huuwameupa odds kubwa na bomba ya ushindi 3.28 Frankufurt ashinde, 2.16 Napoli ashinde au kama unaonangumu hiyo sare ina 3.43 lakini hiyo haitoshiMeridianbet wanakupa machaguo kibao ukibashirimubashara kwenye duka la ubashiri la Meridianbet.

 

ODDS kubwa za Jumatano 22/2/2023

RB Leipzig vs Man City

 

Timu hizi zimekutana mara 2 tangu mwaka 2021, na kilammoja akishinda mara moja, Leipzig alishinda bao 2-1 nahuku rekodi kubwa ya City ni ushindi mkubwa wa mabao6-3. Wakiwa na odds kubwa ya 4.31 ushindi kwa Leipzig, 1.76 ya Man City ashinde. Kama sio mpenzi wa kubashirisoka, Chagua tukupe michezo ya kasino ya mtandaoniyenye sloti pendwa kama Aviator, Poker na Roulette. Bashiri na Meridianbet.

 

Kwa mara ya kwanza walikutana mwaka 2005 ambapompaka sasa wamekutana mara 5, Porto ameshinda mara 1, sare 1 na ushindi kwa Inter Milan ni mara 3. Lakini Porto hajapoteza mechi hata moja kwenye michezo 22 iliyopita, huku Inter akiwa hajapoteza mchezo kwenye mechi 5 za nyuma. Mechi hii unahisi itaishaje? Majibu yako yawekeMeridianbet wakali wa Odds kubwa na Kasino yamtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette. MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents