Habari

Mfahamu Kim Porter Mwanamitindo aliyezaa na P Diddy ambaye amekutwa amekufa nyumbani kwake (+Video)

Mfahamu Kim Porter Mwanamitindo aliyezaa na P Diddy ambaye amekutwa amekufa nyumbani kwake (+Video)

Alizaliwa miaka 47 iliyopita mwaka 1971 Georgia nchini Marekani na kufanikiwa kupata watoto watatu ambao amezaa na rapper kutoka Marekani pia Sean John Combs anayejulikana kwa jina la kisanii kama P Diddy.

Mzazi huyo mwenzake naP Diddy Kim Porter amefariki akiwa na miaka 47, mwili wake umekutwa nyumbani kwake Los Angeles, Marekani. Kim na Diddy wanawatoto watatu ambao ni, Christian Casey Combs , Jessie James Combs, na D’Lila Star Combs, na hawa watu wawili wamekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 13, walianza uhusiano miaka ya 80 mwishoni kuja 90 na Waliachana miaka ya 2000.

Ifahamike kuwa Kim alikuwa Model na Mwigizaji na hii ni video yake akiwa na watoto wake aliozaa na Diddy.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents