Michezo

Michuano ya Uefa hatua ya Robo Fainali kuendelea tena Jumanne na jumatano

Michuano ya Uefa hatua ya Robo Fainali mechi za marudiano zinaendelea tena Jumanne na jumatano kwa michezo minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili .

331278B100000578-0-image-a-9_1460410119960

Manchester City watakuwa wenyeji wa Paris St-Germain katika dimba lao la Etihad na huko Santiago Bernabeu Real Madrid wako kwenye kibarua kigumu cha kugeuza kichapo cha 2-0 toka VfL Wolf-sburg walichokipata wiki iliyopita

article-3533695-330F120100000578-960_636x359

Siku ya Jumatano Benfica watawakaribisha Bayern Munich ,na Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Barcelona.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents