Burudani

Mimi si Sharobaro bali ni Sharo Milionea

Video_sharo_hammer

Mwigizaji maarufu nchini Sharo Milionea, amesema yeye jina lake  ni tofauti na jina la  Sharobaro, kutokana na mtazamo wa watu. anasema jina la Sharobaro watu wamelichulia kama mtu ambaye anajionyesha kwa watu yaani anajulikana kama Bitozi, lakini kwake yeye jina la Sharo Milionea, ni jina lake la kisanii  na sio jina la sifa. 


Sharobaro pia amesema anataka kuvumbua ujuzi mwigine zaidi katika staili yake hiyo ya mpaka poda, mpaka Karoriti, ilikuonyesha watu kwamba yeye ni msanii na sio anakopi kutoka kwa watu wengine, kama walivyokuwa wao wanamuiga. 

video_sharo_milionea_na_madem

Sharomilionea, akiwa na mabiti.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents