Burudani

Miss Tanzania alamba shavu la ubalozi wa Utalii, Mbosso na Samatta wawekwa kwenye mpango (Video)

Miss Tanzania mwaka 2018, Queen Elizabeth, amelamba shavu la kuwa balozi wa Bodi ua Utalii nchini, ambapo atakuwa na majukumu ya kuutangaza utalii wa Tanzania ndani na nje ya nchi. amesaini mkataba wa ubalozi huo mbele ya waandishi wa habari leo Machi 28, ambao atautumikia kwa muda wa mwaka mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents