Burudani

Mkanda wa ngono wa DJ anayeheshimika zaidi Kenya, Crème De La Crème wavuja mtandaoni,

DJ Crème De La Crème, DJ anayeshimika zaidi nchini Kenya amekutana na skendo kubwa kuwahi kutokea kwenye maisha yake baada ya mkanda wa ngono akiwa na mwanamke mwingine zaidi ya mke wake kusambaa mtandaoni.

resize

Pamoja na kuwa DJ anayeheshimika, Creme amekuwa mfano bora wa jinsi anavyoishi na mke wake pamoja na familia na hivyo mkanda huu umewashangaza wengi.

12070813_451690475034715_460038256_n
Mke wa DJ huyo akiwa na mwanae

Mkanda huo wenye dakika tano, uliovunja mtandaoni kupitia tovuti ya ‘Indulge Kenya’, unamuonesha DJ huyo huyo akila uroda na msichana ambaye hajulikani.

Msichana kwenye video hiyo anaonekana kama alivyozaliwa.

Wengi wanahisi mkanda huo utasababisha mpasuko mkubwa kwenye uhusiano wake na mkewe Denise. Hata hivyo habari hiyo inaweza kuwa na faida kwake kutokana na kupata attention kubwa duniani ikiwa ni pamoja na mtandao wa Uingereza, Daily Mirror kuandika.

Creme ana watoto wawili, Jamari na Zawadi. Bado DJ huyo hajatoa maelezo yoyote.

Hivi karibuni DJ huyo ataachia collabo yake aliowashirikisha AY, Prezzo, Big Pin, Ulopa Ngoma, Nameless na wasanii wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents