Mkubwa Fella airudisha Yamoto Band (Video)

Meneja wa Diamond na Mkubwa na Wanae pamoja na Band ya Yamoto weekend hii aliwatambulisha vijana wake wapya ambao wanaunda bendi ya Yamoto Band baada ya wasanii wale wa zamani kutawanyika na kila mmoja kufanya mambo yake. Fella amesema kauli za Rais Samia ziwataka wadau kama yeye kutokata tamaa katika harakati za kusaidia vijana.

Related Articles

Back to top button