Habari

‘Mrithi’ wa Tundu Lissu aapishwa rasmi kuwa mbunge wa Singida Mashariki (+video)

Miraji Mtaturu, kutoka Chama Cha Mapinduzi, CCM, ameapishwa rasmi hii leo siku ya Jumanne kuwa mbunge wa Singida Mashariki.

Mtaturu anachukua kiti hicho cha ubunge ambacho awali kilishikiliwa na Tundu Lissu aliyevuliwa ubunge wake na Spika Job Ndugai mnamo Juni 28 mwaka huu baada ya kupoteza sifa za kuwa mbunge.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents