Mahojiano

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva mwenye ndoto ya kufanya kazi na Alikiba pamoja na Wizkid (+ Video)

Twisco ni msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva licha ya kuanza harakati za muziki tangu mwaka 2012 ambapo alibahatika kufanya collabo na Belle 9 mapema mwaka 2020.

Baada ya Collabo hiyo kwa mara hii amekuja na collabo nyingine akiwa na G Nako NIVUMILIE.

Licha ya kutamani kufanya collabo na wasanii kadhaa kutoka hapa Tanzania na nje ya Tanzania ndoto zake kubwa ni kufanya collabo na wasanii wawili wakubwa ambao ni Alikiba pamoja na Wizkid kutoka nchini Nigeria.

Haya ndio yalikuwa mahojiano yetu na Twisco msikilize kwa makini:-

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents