Mwimbaji na Producer wa Uganda @ykeebenda ameachia ngoma yake iitwayo #kyekiliwo yenye midundo ya Afro pop ikielezea Kijana anayetafuta mapenzi.
@ykeebenda
Kyekiliwo ni wimbo unaoelezea kijana anayetafuta mapenzi lakini hajui achague yupi kwani wapo wengi.
Gusa link kwenye bio yake. @ykeebenda