BurudaniHabari

Mshindi wa Miss Africa Golden Tourism 2022, Lola Mziwanda afunguka mazito (+Video)

Mshindi wa taji la Miss Africa Golden Tourism 2022, Lola Mziwanda @lola_mziwanda amefunguka mengi kuhusu ushindi aliyopata kwenye mashindano hayo yaliyofanyika nchini Nigeria baada ya kurejea nchini Tanzania Jumatatu ya Januari 23,2023.
@lola_mziwanda ameweka wazi na kiasi cha fedha alichopata kama sehemu ya ushindi wake wa nafasi ya kwanza na mengine mengi aliyojifunza. ”Kule watu wanamwaga hela, Wanaume wa Nigeria wanamwaga hela, hadi sasa hivi nina kama Milioni 700.”
Kuangalia Full Video Ingia YouTube Bongo5
Imeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button