Burudani

Mtoto wa Dj Khaled apata shavu Paper Magazine

Mtoto wa nyoka ni nyoka huwenda hata mbele usemi huu upo na unatumika pia, hii ni baada ya jarida la Paper kumtumia Ashad Khaled mtoto wa Dj Khaled kukava jarida hil la hivi karibuni.

Ashad mwenye mwaka mmoja nyota yake inazidi kung’ara kila kukicha sio tu kukava jarida hilo bali alisha tokea katika cover ya albamu ya mshua wake iliotoka Juni 23 mwaka huu iitwayo ‘Grateful’, na sio hivyo mtoto huyo amekuwa akiudhuria tuzo kadhaa za muziki na hata kuonekana katika photoshoot mbalimbali na baba yake.
Kwa sasa Ashad ndiye mtoto wa kiume anayeongozwa kupendwa na kuwa na watu wengi wanaomfuatilia katika mitandao yakijamii.
Picha zaidi:

<img src="http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/12/IMG_5762.jpg" alt="" width="313" height="470" class="alignnone size-full wp-image-212500" /

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents