Michezo

Mashabiki ni sehemu ya Usajili wanajua kizuri – Eng. Hersi

“Mashabiki wetu ni sehemu ya usajili huwezi kuwakwepa mashabiki, wanaweza kukuonyesha mchezaji mzuri kwahiyo kuna wakati unapaswa kusikiliza sauti za mashabiki.

“Na atakapokuja mchezaji mzuri watakuonyesha Huyu ni mchezaji mzuri kwa hiyo suala la Aziz kutakiwa na mashabiki lilianza kabla ya viongozi na pressure ilikuwa kubwa haswa kwa wenzetu (Simba) kwa hiyo ofa zilishapelekwa kwa Mama yake.

“Hapo ndio zile doti sasa nani umemuweka mahali pazuri mfano Mama tulikuwa tumeshazungumza namna gani nitaishi na Aziz Ki hata nje ya dakika 90 za uwanjani,” Rais wa Yanga Sc, Mhandisi, Hersi Said akizungumza kwenye kipindi cha #Baolaasubuhi cha #BongoFm

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents