HabariMichezo

Mudathir apewe ‘Zanzibar Finest’ au libaki kwa Fei Toto ?(+Video)

Kiungo Mudathir Yahya ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga waliyofanya vizuri kwenye mchezo wao dhidi ya TP Mazembe Kombe la Shirikisho Afrika.

Licha ya mchango mkubwa aliyotoa lakini pia, Mudathir ameweza kuwapatia goli la pili Wananchi na mchezo huo kumalizika kwa ushindi wa mabao 3-1.

Kwa muda mrefu Feisal Salum amekuwa akiitwa kama ‘Zanzibar Finest’ kutokana na uborake na uwezo wake mkubwa kwenye soka.

Je, jina la ‘Zanzibar Finest’ apewe Mudathir Yahya ama libaki kwa Feisal..?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents