Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311.
Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni;
1. Dr Seif Ramadhan Muba – kura 1636
2. Asha Baraka – kura 1564
3. CPA Issa Masoud Iddi – kura 1285
4. Rodney Chiduo – kura 1267
5. Seleman Harubu – kura 1250