Muziki
Music: Julio Batalia feat. Mucky Comando – One Day

Mshiriki wa Big Brother Stargame Africa 2012, na msanii wa Muziki wa bongo fleva, Julio Batalia amechia ngoma mpya inaitwa ‘One Day’, amemshirikisha Mucky kutoka kundi la Macomando, Producer Bob Manecky.
https://youtu.be/oBaKaPMCz7Y