Mtayarishaji wa muziki wa Bongo Fleva, Bugalee ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Gwala’ na anakukaribisha utazame kichupa cha wimbo huo kwa kubofya link hapa chini;
Video imeongozwa na Farid Uwezo akishirikiana na Director Sniper, Huku audio ikigongwa na mwenyewe Bugalee.