MUSIC VIDEO: Enoz X Van Dee Ft Azim – Hivyo hivyo

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Enoz akishirikiana na Van Dee na Azim, Ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Hivyo Hivyo’.

Video ya wimbo huu imeongozwa na ‘Stam Production’ Huku mdundo ukipikwa katika Studio za Advert Music chini ya Producer ‘Otrack’. Bofya hapo chini kutazama kichupa hiki.

Related Articles

Back to top button
Close